Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam inapenda kukukaribisha katika website hii ya chuo, lengo la website hii ni kwa ajili ya kukurahishia kupata taarifa kuhusiana na chuo chetu kwa njia rahisi na nyepesi. Chuo chetu ni moja ya vyuo vikongwe lakini chenye sifa ya kipikee, kinahudumia kuanzia askari mpaka raia wa kawaida. Chuo kipo katika mazingira rafiki, yenye utulivu na usalama wa kutosha, panaweza kufikika kwa wakati wowote kutoka sehemu yoyote ndani ya Dar es salaam.
Karibuni sana muweze kujua mambo mbalimbali kuhusiana na chuo chetu, kufahamu huduma tunazotoa kijamii na kitaaluma, usisite kuwasiliana nasi muda wowote kwa maswali, ushauri au kwa uhitaji wa huduma yoyote tunazoa.