Chuo cha DPA kina mabweni mazuri kwa ajili ya askari na maafisa wa ngazi tofauti wanaohudhuria kozi katika chuo.
Classes
Chuo cha DPA kina madarasa mazuri yaliojengwa kisasa kwa ajili ya kuendeshe kozi mbalimbali kwa askari na maafisa wa ngazi tofautitofauti.
Computer Lab
Ni madarasa ya komputa kwa ajili ya wanafunzi kujifunzia na kufanya mitihani mbalimbali kwa njia ya kompyuta,baadhi ya askari wakiwa katika mafunzo ya utumiaji wa kompyuta.
Stadium
Chuo cha DPA kina uwanja wa michezo kwa ajili ya askari na maafisa wanahodhuria kozi mbalimbali.