SALOON
Ni moja ya saluni ya kisasa yenye wahudumu wakalimu ambao hutambua majukumu yao ya kazi.
RUTTA(UKUMBI)
Ni ukumbi wa sherehe na mikutano wenye uwezo wa kuchukua watu zaidi ya 300.
BAR AND RESTAURANT
Huduma mbalimbali za vyakula , vinywaji vinapatikana na sehemu za mapumziko.
MRADI WA MBOGAMBOGA
Mradi huu hujumuisha utunzaji na ulimaji wa mbogamboga.
CAR WASH
Car wash ya kisasa yenye uwezo wa kuosha magari mengi au pikipiki kwa mda mfupi.
GYM
Mradi wa Gym katika chuo cha Taaluma ya polisi DPA kinatoa huduma ya mazoezi tiba ya viungo (Physiotherapy), Self defence (ulinzi binafsi).